Kisanduku cha barua au kisanduku (kwa Kiingereza: email inbox) ndani ya kompyuta ni pahali ambapo barua pepe zinapelekwa. Barua pepe zote za mtu mmoja zinawekwa katika kisanduku chake aweze kuzisoma.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search